Gavana
wa jimbo la BORNO, KASHIM SHETTIMA amesema mlipuko mpya wa ugonjwa wa
POLIO katika jimbo hilo umetokana na watoa huduma za afya
Gavana wa
jimbo la BORNO, KASHIM SHETTIMA amesema mlipuko mpya wa ugonjwa wa POLIO
katika jimbo hilo umetokana na watoa huduma za afya kutofika katika
eneo hilo kwa hofu ya wapiganaji wa BOKO HARAM.
Amesema jamii
zinazoishi katika eneo hilo hazijapata huduma za kinga ya maradhi
mbalimbali ikiwepo chanjo ya POLIO tangu Desemba mwaka 2013 hadi
mwishoni za mwaka 2015.
Gavana SHETTIMA alikuwa akizungumza na wakazi
kijiji cha MAINOK huko KAGA eneo ambalo taasisi ya BILL na MALINDA
GATES wametoa msaada wa Dola milioni MOJA kwa ajili ya kununulia chakula
kwa watu zaidi ya ELFU 40 wanaoshikiliwa na kundi la BOKO HARAM.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


0 comments:
Post a Comment