Image
Image

Lady Gaga kurudi kwenye muziki baada ya kupotea miaka 3.

Pop staa Lady Gaga ametangaza rasmi kurudi kwneye muziki na rekodi mpya iliyopewa jina “Perfect Illusion“. Kazi hii inatoka September mwaka huu.
Taarifa zinasema “Perfect Illusion” imetayarishwa na producer Mark Ronson. Muziki huu utakuwa mpya kutoka kwa Gaga toka mwaka 2013 Artpop.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment