Waziri wa uchukuzi wa Uturuki Ahmet Arslan aituhumu Magharibi kuwaunga mkono wahaini na wasaliti.
Uwanja
wa ndege wa kimataifa wa tatu mjini Istanbuli utazinduliwa katika
kipindi cha miezi mitatu ya mwanzo ya mwaka 2018 kama inavyotarajiwa.
Waziri
wa uchukuzi na upashaji habari Ahmet Arslan amefahamisha kuwa Magharibi
inatuhiwa kwa kuunga mkono wahaini na wasaliti katika mkutano ambapo
aliarifiwa kushiriki na kituo cha habari cha Anadolu uliofanyika
Jumatano.
Waziri Ahmet Arslan ameituhumu Magharibi kwa kuunga mkono wahaini kuliko kushirikian a na seriakli.
Hayo waziri Ahmet Arslan aliyafahamisha alipokuwa akizungumzia matukio baada ya jaribio la mapinduzi la Julai 15.
Waziri
Ahmet Arslan alimalizia akifahamisha kuwa uwanja wa ndege wa tatu mjini
Istanbul utazinduliwa katika miezi mitatu ya mwanzo ya mwaka 2018.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


0 comments:
Post a Comment