Kwa
mujibu wa habari zilizotolewa na gazeti la Keyhan la nchini Iran
limefahamisha ya kwamba washukiwa watatu wanyongwa katika mkoa wa
Huzistan mjini Ahvaz nchini Iran.
Washukiwa hao walinyongwa baada ya
kukutwa na hatia ya kuhusika katika shambulizi la kigaidi katika kituo
cha Polisi cha mjini Ahvaz ambalo lilipelekea polisi watatu kufariki na
wengine wawili kujeruhiwa.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


0 comments:
Post a Comment