Image
Image

Vikosi vya usalama vya Libya vyaendeleza operesheni dhidi ya kundi la kigaidi la DAESH

Vikosi vya usalama vya serikali ya maridhiano ya Libya vinaendeleza operesheni zao dhidi ya kundi la kigaidi la DAESH.Vikosi hivyo vinaarifiwa kufanikiwa kudhibiti mitaa ya kaskazini mwa mji wa Sirte baada ya kuendesha operesheni dhidi ya DAESH nchini Libya.
Wakati huo huo, baadhi ya majengo yaliyokuwa yametekwa na wanamgambo wa DAESH pia imeripotiwa kulipuliwa kwa makombora.
Kwa upande mwingine askari 5 wa vikosi vya usalama vya Libya wameripotiwa kupoteza maisha huku wengine 17 wakijeruhiwa kwenye operesheni.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment