Image
Image

Baraza la usalama la Uturuki laomba hali ya dharura iongezwe muda

Baraza la Usalama la Uturuki limeomba pia na kupendekeza kuwa tarehe 15 ulia ya kila mwaka  nchini Uturuki iwe ni siku ya kitaifa ya demokrasia na uhuru.
Baraza la usalama la Uturuki lililoongozwa na rais Erdogan Jumatano  lilitangaza hali ya dharura kwa muda wa miezi mitatu kufuatia jaribio la mapinduzi la Julai 15 kwa sasa huenda hali hiyo ya dharura ikaongezwa kwa muda wa mwezi mmoja.
Katika tangazo lililotolewa na baraza la usalam la Uturuki lililfahamisha kuwa  hali hiyo ya dharura kwa niaba ya kulinda taifa na raia na kuhakikisha kuwa usalama umehimarika.
Hayo yaliahamishwa baada ya kumalizika kwa mkutano huo uliofanyika katika ikulu mjini Ankara.
Hali ya dharura  ilitangazwa Julai 20 siku nne 5 baada ya jaribio la mapinduzi, kitendo ambacho kwas asa kinaashiria kuwa  hali hiyo ya dharura itamalizika mwishoni mwa Oktoba.
Baraza la usalama la Uturuki limependekeza kuwa Julai 15 iwe ni siku ya kitaifa ya demokrasia na uhuru.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment