Image
Image

JAFFO aagiza wakuu wa idara za Halmashauri kutenda haki.

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI, - SELEMANI JAFO amewaagiza wakuu wa idara katika halmashauri na taasisi za serikali kutenda haki na kujiepusha na vitendo vya rushwa. Naibu Waziri JAFO ametoa agizo hilo kwa nyakati tofauti alipokuwa akizungumza na watumishi na wakuu wa idara katika Manispaa ya MUSOMA na halmashauri ya Musoma vijijini mkoani MARA mara baada ya mkutano wa Jumuiya ya Tawala za Mikoa - ALAT mkoani humo.
Naibu Waziri JAFO pia amewataka wakuu hao wa idara katika halmashauri na taasisi za serikali kufanyakazi kwa bidii.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment