Image
Image

MBARAWA kuzindua mpango wa kudhibiti uchafuzi wa Mazingira Bahari.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa MAKAME MBARAWA anatarajiwa kuzindua mpango wa kudhibiti uchafuzi wa mazingira ya Bahari.Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa MAKAME MBARAWA  anatarajiwa kuzindua mpango wa kudhibiti uchafuzi wa mazingira ya Bahari katika viwanja vya TANGAMANO mkoani mkoani TANGA.
Uzinduzi wa mpango huo unakwenda pamoja  na maadhimisho ya wiki ya bahari ambayo hufanyika kila ifikapo wiki ya mwisho ya mwezi septemba
na kushirikisha wadau mbalimbali wa huduma za bahari ambapo mwaka huu kufanyika mkoani TANGA.
Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Bahari ZANZIBAR SULEIMAN MAKAME amesema kuwa serikali imeunda kamati maalum ya kupitia meli zote zinazofanya safari visiwani humo ili kubaini meli chakavu na kuziondoa katika utoaji wa huduma bahari.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment