Image
Image

Mbowe:Mpuuzeni Prof. Lipumba na Msimpe ushirikiano kwa kuwa ni Msaliti.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimetoa msimamo wake kwa kile kinacho fukuta ndani ya chama cha wananchi CUF baada ya Prof Lipumba kukituhumu chama hicho kuwa ni wakala wa kusababisha CUF ibomoke.
Mwenyekiti wa CHADEMA Mh.Freeman Mbowe ametoa Msimamo huo wakati akiahirisha shughuli za UKUTA jijini Dar es Salaam,amesema kuwa hizo ni kauli za lipumba ni kauli za kisaliti ambazo lipumba anazipitia.
Mbowe amesema kuwa wao Kama CHADEMA wataendelea kushirikiana Bega kwa Bega na CUF na wataheshimu maamuzi yanayofanyika kwenye vikao halali vya CUF,na watafanya kazi na wabunge wa UKAWA pamoja na wabunge na madiwani wa UKAWA.
Aidha Mh.Mbowe amewaomba viongozi wote wa CHADEMA nchi nzima upuuze kauli za Prof.Lipumba na isimpe ushirikiano wa aina yeyote kwa kuwa ni Msaliti wa Taifa na Demokrasia kiujumla nchini.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment