Image
Image

Watu 7 wafa na wengine 31 kujeruhiwa katika mlipuko Baghdad Iraq.

Watu 7 wameripotiwa kufariki na wengine 31 kujeruhiwa katika mlipuko uliotokea katika mji mkuu wa Baghdad Iraq.Kwa mujibu kutoka vyanzo vya polisi ni kuwa mlipuko huo uliathiri mikoa ya El-Beyya, El-Huseyniyye, El-Iskan ,Besmaya na maeneo jirani ya Es-Sıhha  yaliyopo mjini Baghdad.
Hata hivyo hakuna kundi lolote limedai kutekeleza shambulizi hilo.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment