Image
Image

Katibu mkuu mpya wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameapishwa.

Antonio Guterres ni katibu mkuu wa 9 katika muungano huo wa UN wenye nchi wanachama 193.
Baada ya kuapishwa Gutteres alitoa hotuba aliyoangazia mabadiliko atakayofanya akiwa kiongozi na kutoa wito kwa wanachama kuwa tayari kwa mabadiliko.
Gutteres atachukua madaraka kutoka kwa Ban Ki Moon ambaye atawacha kiti hicho rasmi mwezi Januari.
Gutteres atakuwa uongozini kwa muda wa miaka 5.
Guterres aliwahi kuwa waziri mkuu wa Ureno kati ya mwaka 2005 na 2015 pia alikuwa mkuu wa idara ya kushughulikia masuala ya wakimbizi.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment