Image
Image

Rais Dkt.Magufuli akutana na balozi wa uturuki nchini Mhe. Yasemin Eralp.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Balozi wa Uturuki nchini Mhe.Yassemin Eralp walipokutana kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 20176.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na  Balozi wa Uturuki nchini Mhe. Yasemin  Eralp walipokutana kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 20176.Wengine kutoka kushoto ni Balozi zuhura Bundala, Balozi Joseph Sokoine na Bw. Hassan Mwamweta wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kikanda na Kimataifa.

PICHA NA IKULU

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment