Image
Image

Rais Dkt.Magufuli amwaapisha mwenyekiti wa tume ya uchaguzi, kamishna wa maadili na majaji wanne wapya wa mahakama ya rufani Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimmkabidhi nyenzo za kazi baada ya kumuapisha uapisha Jaji Semistocles Kaijage kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi nyezo za kazi baada ya kumuapisha Jaji (Mst) Hamid Mohamoud Hamid kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza baada ya kumuapisha Jaji Semistocles Kaijage kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimwsalimiana na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi  mstaafu Jaji Damian Lubuva  Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa wakiwa na Jaji (Mst) Harold Reginald Nsekela ambaye ameapishwa kuwa Kuwa Kamishna wa Maadili katika Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa wakiwa na Jaji (Mst) Harold Reginald Nsekela ambaye ameapishwa kuwa Kuwa Kamishna wa Maadili katika Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016. Kulia ni Kamishna wa Maadili katika Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Mstaafu Jaji Salome Kaganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji Semistocles Kaijage kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
PICHA NA IKULU
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment