Mwandishi wa habari katika gazeti la Independent Simon Calder alisema kuwa jawabu bora zaidi kwa magaidi ni kwenda likizo Istanbul.
William Jacob Raak ni rais kutoka Marekani aliyekuwa katika ukumbi wa starehe Istanbul uliyoshambuliwa usiku wa mkesha wa mwaka mpya .
Raak alipata fursa ya kuongea na waandishi wa habari katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa Atatürk na kusema kuwa jibu walilopata magaidi ni pigo kuu .
Alisema kuwa atarudi tena Istanbul kwa kuwa ni mjimzuri sana na raia wa Uturuki ni wenye utu sana.Aidha aliendelea kusema kuwa akiwa likizoni Istanbul lipata marafiki ambao wamemsaidia sana
Wesley Sneijder mchezaji soka wa timu ya Galatasaray kutoka Uholanzi pia alisema kuwa anafuraha akiwa Istanbul na kusema kuwa hatoondoka .
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment