Image
Image

Uzinduzi wa Mabasi ya Mwendo kasi, Rais Magufuli aweka rekodi mpya baada ya kuendesha basi hilo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokt.  Jonh Pombe Magufuli amezindua awamu ya kwanza ya mradi wa mabasi yaendayo haraka gerezani jijini Dar es Salaam na kuwasisitiza watanzania kuutunza mradi huo kwa manufaa ya maendeleo ya nchi kwa kuwa mradi huo unalenga koboresha sekta ya usafiri jijini Dar es Salaam.
Uzunduzi huo umehudhuriwa na viingozi mbalimbali akiwemo mwakilishi wa benki ya dunia Afrika ambaye ametoa ahadi kusaidia Tanzania zaidi  katika sekta ya usafirishaji.
Hata hivyo mara baada ya uzinduzi Rais Magufuli aliweka Rekodi mpya mara baada ya kuendesha basi hilo tofauti na viongozi wengine ambao huzindua kwa kuingia kukaa ndani ya basin a kuondoka lakini Rais ameonesha kitu kipya kilichovutia wengi katika eneo la Kariakoo Gerezani jijini Dar es Salaam.
                                             Tizama akiendesha Mwendo Kasi.


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment