Image
Image

Waziri afuta utaratibu wa wakimbizi toka BURUNDI na DRC kuingia nchini.

Waziri wa mambo ya ndani Mh. Mwigulu Lameck Nchemba amefuta utaratibu wa wakimbizi toka nchi jirani za Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo DRC kuingia nchini kwa makundi na bila kukaguliwa kutokana na utaratibu huo kusababisha wasio na hadhi ya ukimbizi kuingia.
Akizungumza na kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Kigoma Mh. Nchemba amesema katika siku za hivi karibuni kumekuwa na makundi ya watu kutoka nje wakiingia kwa sababu za njaa na nyingine hali ambayo haikubaliki.


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment