Jeshi la Uturuki lafahamisha kuwa wanamgambo wapatao 18 wa kundi la kigaidi la Daesh wameuawa ktaika operesheni al Bab.
Taarifa hiyo imefahamisha pia wanamgambo 37 wa kundi hilo wamejeruhiwa.
Uturuki imefahamisha kuendesha operesheni ya kali ya kusafisha eneo la al Bab nchini Syria.
Operesheni hiyo kwa mujibu wa makao makuu ya jeshi inalo lengo la kuwaondoa wanamgambo wa Daesh na kuhimarisha usalama kusini mwa Uturuki katika eneo la mpakani na Syria.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment