Image
Image

Sheddy Clever:Sito isahau Number One ya Diamond ndio imeniweka pazuri.

Mtayarishaji wa Muziki nchini Sheddy Clever amesema kuwa katika vitu ambavyo hawezi kuvisahau mpaka hivi leo ni wimbo wa Number One ya Diamond Platnums ambao uliweza kumtambulisha pakubwa katika kazi yake hiyo.
"Number One ni wimbo ambao ulivuka Boder, ni wimbo ambao na uheshimu katika nyimbo nilizofanya kwa sababu ninyimbo ambayo ilinitambulisha kimataifa na umemtambulisha Diamond kimataifa najivunia sana"Amesema Sheddy Clever.
Sheddy amesema licha ya kupata mafanikio kama wengi wanavyodhani baada ya wimbo wa Number One kutusua amesema faida ambazo huwa amekuwa akijivunia ninamna ambavyo amekuwa akipata Connection na watu nje na ndani ya Tanzania, kuwa na marafiki wengi na kujuana na wasanii pamoja na Maproducer wengine hivyo ni kitu kikubwa mnoo bila hata kupata pesa.
Kuhusu wimbo wa Diomond na Neyo- Mery u, Sheddy Clever amesema baada ya kufahamishwa kuwa kunakazi na Neyo anasema kuwa ilikuwa nikama Suprise kwani alikuwa hajui kama kuna Project hiyo akafanye, kwani akiangalia neyo ni msanii mkiubwa mnoo na hakutaraji ingetokea chance kama hiyo.
Katika hatua nyingine Sheddy amekuwa na swali la kujibu juu ya Beart ambayo imekuwa ikihusianishwa kufanana, Wimbo wa KC - Fine Face inadaiwa kufanana kiasi fulani na Mery - U Diamond, Sheddy anaeleza ilivyokuwa hapa kwenye Video.
**Kwa sasa nchini Tanzania msanii ambaye ameweka pazuri sanaa ya muziki Kimataifa huwezi kuacha kumtaja Diamond Platnums(Simba) licha yakuwa wasanii niwengi mnoo lakini kijana huyu mdogo ameweza kufungua milango ya soko la muziki kuvuka ng'ambo na sasa muziki kuheshimika nakuonekana biashara tofauti na miaka ya nyuma muziki ulikuwa ukionekana ni uhuni lakini sasa ni ajira.
Crdt: Video na Batro.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment