Image
Image

Wizara ya nishati na Madini yahamia Dodoma Rasmi.


Wafanyakazi zaidi ya 47 wa Wizara ya Nishati na Madini wameondoka leo kuelekea mjini Dodoma, ikiwa ni utekelezaji wa agizo la muheshimiwac rais lakutaka makao makuu kuwa Dodoma.
Wafanyakazi hao ambao walikuwa kwenye usafiri wa mabasi wanatakeleza kwa vitendo maagizo hayo ya serikali ya kuhamshia ofisi zake zote mji Dodoma ambapo ndipo unapokuwa makao makuu ya nchi na kuuacha mji wa kibiashara ukiwa Dar es Salaam.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment