Image
Image

Chama cha Watu,Uhuru na Demokrasia (VVD) kinaongoza kwa viti 33 bunge la Uholanzi.

Matokeo yasiyo rasmi yamebainisha kuwa chama cha waziri mkuu wa Uholanzi Mark Rutte kinaongoza kwa kura katika bunge .
Chama cha Watu,Uhuru na Demokrasia  (VVD) kinaongoza kwa viti 33 kati ya 150 katika bunge la Uholanzi.
Geert Wilders kiongozi wa chama cha anti-Islam Party for Freedom (PVV) alipata viti 20 bungeni huku chama cha Christian Democrats  pamoja na D66 Party vikigawana viti 19 katika bunge hilo.
Chama cha PVV kinaonekana kudidimia katika kinyng'anyiro hicho .
Hata hivyo Rutte atahitaji msaada wa kura kutoka vyama vingine visivyopungua vitatu anaglau aweze kupata kura za wengi katika serikali.
DENK,chama kilichoanzishwa na waturuki walio Uholanzi mwaka 2015,kimeshinda viti vitatu katika uchaguzi huo .
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment