Image
Image

Ulaya yatiwa hofu na Uturuk yenye nguvu

Naibu waziri mkuu wa Uturuki Numan Kurtulmuş amesemakuwa bara la Ulaya linatiwa hofu na Uturuki yenye nguvu.
Hayo naiba waziri wa Uturuki aliyazungumza katika hotuba yake aliotoa katika mkutano wa hadhara uliofanyika  Jumatano Malatya.
Kiongozi huyo alikumbushia kuwa marekebisho ya katiba sio kwa niaba ya chama au siasa bali kwa manufaa ya taifa zima.
Uturuki inataarisha maisha ya baadae na kuweka kando mizozo ya kisiasa bain aya vyama na kuweka taifa mbele.
Naibu waziri mkuu alizungumzia pia mapambano dhidi ya makundi ya kigaidi kama Daesh, PKK na FETÖ.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment