Image
Image

Wajumbe 8 walioteuliwa kuchunguza mchanga wenye madini waapishwa Ikulu leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Nehemiah Eliachim Osoro kuwa mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Aprili 11, 2017 
Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Longinus Kyaruzi Rutasitara kuwa mjube wa  Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam  Aprili 11, 2017 
Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt Oswald Joseph Mashindano  kuwa mjube wa  Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam  Aprili 11, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Casmir Sumba Kyuki kuwa mjube wa  Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam  Aprili 11, 2017 
Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Usaje Benard Usubisye kuwa mjube wa  Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 11, 2017 
Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania John Pombe Magufuli akimuapisha Bi. Butamo Kasuka Philip kuwa mkube wa  Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam  Aprili 11, 2017 
Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania John Pombe Magufuli akiongea na wajumbe wa Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini baada ya kuwaapisha kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam  Aprili 11, 2017 
Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania John Pombe Magufuli akisalimiana na Gabriel Pascal Malata na wana-Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam  Aprili 11, 2017 .
Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Nadrew Wilson Massawe kuwa mjumbe Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam  Aprili 11, 2017 .
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment