Image
Image

Hiki ndicho alichokiandika Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa Twitter.

Kiongozi mkuu wa chama cha upinzani nchini Tanzania cha ACT Wazalendo na Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe ametumia dakika chache kuyaandika haya kwenye ukurasa wake wa Twitter.
"Serikali ya CCM ya awamu ya Tano imekopa $500m kutoka Benki ya CreditSuisse ya Uswiss Kwa riba kubwa Sana".#ZittoKabwe .

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment