Image
Image

Mpinzani waserikali nchini Urusia aliyekuwa kifungoni aachiwa huru.

Mpinzani waserikali nchini Urusi Alexei Navalny atangaza Jumapili kuwa ameachwa huru kutoka kifungoni .
Mpinzani huyo alikamatwa na kuwekwa kifungoni kwa muda wa siku 20.
Alexei Navalny alikamatwa akituhumiwa kuandaa maandamano yaliopigwa marufuku na serikali.
Mpinzani huyo katika ukurasa wake katika mtandao wa kijamii aliandika kuwa yupo huru kuhu akipeperusha picha inayoashiria kuwa yupo huro katika mitaa mjini Moscow.
Navalny alitangaza  kuwa atashiriki katika uchagzui mkuu unaotarajiwa kufanyika  ifikapo Machi mwaka 2018.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment