Image
Image

Rais Magufuli leo kuwatunuku vyeti wajumbe wa kamati zilizofanya uchunguzi katika Makinikia.

Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 23 Oktoba, 2017 atawatunuku vyeti wajumbe wa kamati zilizofanya uchunguzi wa kiwango,aina na thamani ya madini katika makinikia na baadaye kufanya mazungumzo na kampuni ya Barrick Gold.
Tanzania na Barrick Gold Corporation zilifikia makubaliano tarehe 19 Oktoba, 2017 nakutiliana saini mkataba wa kutekeleza mwelekeo mpya wa namna kampuni hiyo itakavyo endesha biashara ya madini ya dhahabu yanayochimbwa katika migodi yake hapa nchini,pamoja na kulipa takribani Dola za Marekani Bilioni 700 za kuonesha nianjema ya kufidia madai ya upotevu wa mapato yaliyotokana na biasharahiyo.
Tukiohili litafanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam kuanziasaa 5:00 asubuhi na kurushwa moja kwa moja na vyombo vya habari vya Redio, Televisheni na mitandao mbalimbali. 
Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam
23 Oktoba, 2017

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment