Image
Image

Lugola aliamsha Bungeni, ni juu ya Marufuku ya wanaolima kwenye vyanzo vya maji, Makamba ajibu.

Baada ya 7 Novemba 2017 Rais Magufuli kupiga marufuku viongozi wanaowazuia wananchi wanaolima kando ya mto  na kutaka vijana hao waungwe mkono, baada ya kupokea kero ya kijana Rosh Omary aliyefyekewa mazao yake kando ya mto Nkenge Kyaka mkoani Kagera, leo 8 Novemba 2017 Bunge limelipuka baada ya Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Kangi Lugola kupiga marufuku watu wanaolima Kando ya Mto."Kauli ya Rais isije ikapotoshwa wakavamia maeneo na kuanza kulima, hakuna anayeruhusiwa kwenda kwenye chanzo cha maji".- Lugola.
Baada ya Naibu waziri kujibu swali hilo kukaonekana kuwepo kwa mvutano ambapo ikamlazimu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira January Yusuph Makamba kutolea ufafanuzi.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment