Image
Image

Rais Dkt.Magufuli afungua viwanda viwili mkoani Mwanza 31 Oktoba 2017.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi katika eneo la kona ya Butimba wakati akitokea Igogo jijini Mwanza oktoba 30,2017.
Baadhi ya Wananchi katika eneo la kona ya Butimba wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  aliposimama kuzungumza nao  Igogo jijini Mwanza oktoba 30,2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua mabox ya dawa ambayo yapo tayari kutumika wakati wa ufunguzi wa  kiwanda cha madawa cha Prince Pharmaceuticals kilichopo Buhongwa nje kidogo jijini Mwanza oktoba 31,2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na baadhi ya wazee wenye kero mbalimbali za muda mrefu mara baada ya kufungua kiwanda cha madawa cha Prince Pharmaceuticals kilichopo Buhongwa nje kidogo jijini Mwanza oktoba 31,2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri wa Viwanda na Biashara Charles Mwijage mara baada ya kufungua kiwanda cha Victoria molders and polybags kilichopo Igogo jijini Mwanza oktoba 31,2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono mafundi wa Kiwanda cha Victoria molders and polybags mara baada ya kutengeneza Tanki la kuhifadhia maji oktoba 31,2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia utengenezaji wa viti vya plastiki katika kiwanda cha Victoria molders and polybags katika eneo la Igogo jijini Mwanza oktoba 31,2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia mfuniko uliotengenezwa katika kiwanda hicho cha Victoria molders and polybags Igogo jijini Mwanza oktoba 31,2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Meya ya jiji la Mwanza James Bwire mara baada ya kufungua kiwanda cha Victoria molders and polybags Igogo jijini Mwanza oktoba 31,2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifungua kiwanda cha madawa cha Prince Pharmaceuticals kilichopo Buhongwa nje kidogo jijini Mwanza oktoba 31,2017
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment