Image
Image

Tanzia: Mbunge wa CCM Leonidas Gama afariki Peramiho mkoani Ruvuma.

Mbunge wa Songea Mjini kupitia Chama cha mapinduzi CCM, (Pichani) Leonidas Gama amefariki katika hospitali ya Peramiho mkoani Ruvuma akipatiwa matibabu.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Ruvuma Oddo Mwisho amesema Mh.Gama alifariki usiku wa kuamkia hivi leo mwendo wa saa sita usiku baada ya kuanguka gafla na kukimbizwa hospitali ya Peramiho.
Marehemu Gama alishawahi kuwa mkuu wa Wilaya sehemu mbali mbali nchini enzi za uhai wake na mwaka 2015 aligombea ubunge wa jimbo la Songea Mjini kupitia CCM, mpaka umauti ulipo mfika.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment