Image
Image

C9 RECODS YAFUNGA VIFAA VIPYA NDANI YA STUDIO YAKE, YATANGAZA NEEMA KWA WASANII NA UBORA WA KAZI WENYE KIWANGO CHAJUU.

C9 akiwa kwenye studio yake wakati akiwa na harakati za ufungaji vifaa ndani ya studio hiyo iliyoko kinondoni manyanya jijini Dar es Salaam. 

Moja kati ya mixer iliyop ndani ya studio hiyo , huku c9 akiwa kwenye harakati za kufunga funga vifaa.


C9 na kikosi chake wakishambulia mashine za studio hiyo ili kuhakikisha kwamba mabo ya recods yanakuwa poa.


Eriki aliyeko upande wa kulia na Ami"s touch wakwanza akiwa wanajaribu maic na stend yake kwamba vipo sawa katika kufanya mashambulizi ya kujitaftia riziki.



Ami"s touch( kushoto) na Erick( kulia) na anaye onekana m,bele kabisa kule ni C9 mwenyewe wakati wakiwa katika harakati ya kufunga studio hiyo.


C9 akiwa ana smile kwa mbali mara Baada yakuwa na matumaini ya kufunga studio yake huku akijaribu kidogo kwamba mambo yako sawa.


Mtazame erick akiwa anavuta hisia kali ya jinsi mashambulizi yatakavyokuwa baada ya kukamilisha zoezi zima la ufungaji vifaa kwenye studio ya C9 record iliyoko kinondoni manyanya jijini Dar es Salaam.



Hivi ni baadhi tu ya vifaa vinavyoonekana hapa katika studio za C9 records baada ya kufungwa huku vingine vikiwa vimewekwa pembeni kwaajili ya kuweza kufungwa, Hakika wasanii wataweza kuenjoy kwa namna muziki wao utakavyokuwa na usikivu uliotulia.
Hapa bwana Kanjenje anamcheki mshikaji jinsi anavyo funga funga mamitambo ndani ya studio safi Maridadi ya C9 recods.





Haya bwana ndio mambo ya erick hakubali kushindwa kitu na tabia yake ni Moja, anapofanya kitu lazima ajaribu na Hapa kashika Gitaa na piga kwa kujaribu vipi kazi imeenda sawaaa chezeaaa weweee.

Kanjeje ndie mmiliki halali wa C9 Records, baada ya kumaliza kufunga na kusimamia shughuli nzima ya ufungaji vifaa, nayeye akaanza kujaribu kubofya kinanda na Baada ya ya kumaliza furaha ikaamjia hapo mtizamee anavyo furahi, hiyo ndio C9 bwanaa. ( Picha zote na halima kambi) Na maelezo ndani ya Picha yameandikwa na kunakishiwa na Kijana Mstaarabu Mr Semvua Msangi, Kumbuka Tambarare halisi Ndio Mambo Yote endelea kutembelea Blog hii utahabarika zaidi.
















Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment