Image
Image

ASKARI TOSSI ASHIKILIWA NA WAISLAMU MTAMBANI WAKATI AKIWA KWENYE PILIKA ZA KAZI.

Askari wa jeshi la polisi wakiwa kwenye gari yao, huku wakiwa wamejikok vitu mwilini kwaajili ya kazi,huku wakizynguka kufanya doria katika baadhi ya maeneo ya jiji la Dsm kwa lengo la kujiridhisha kama kuna amani baada ya kuwep[o kwataarifa zawaislam kuandamana.



 Baadhi ya waumini wa dini ya kiislam  katika msikiti wa mtambani jijini dae es salaam wakionekana wamemzungukaaskari aliyefahamika kwa majina ya Jonathani Tossi aliyeshika kamera, huku askari hao wanaonekana wakimuhoji baada ya kumshikilia kwa mudawasaa kadhaa.

Aidha walimuachianakumuamuru afute pichazote alizopigakwenye eneo hilo.


Aakari wakiwa kwenye gari yao wakiimarisha ulinzi katika msikiti wa mtambani jijini Dar es salaam baada ya kuwa na minong"ono ya waislam kuandamana kwa lengo la kupelekwa segerea ka katibu wa jumuia za kiislam nchini sheikh ponda.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment