Image
Image

MADAKTARI BINGWA KUTOKA CHINA WAJITAMBULISHA KWA RAIS DKT. SHEIN

 Baadhi ya Madaktari kutoka Jimbo la Jiangsu Nchini China waliofika Ikulu Mjini Zanzibar,wakimasikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipozungumza na madaktari hao leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na madaktari kutoka Jimbo la Jiangsu Nchini China waliofika Ikulu Mjini Zanzibar kusalimiana na Rais,madaktari hawa wataungana na Madaaktari wazalendo katika kutoa huduma katika Hospitali za Serikali Unguja na Pemba.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha ya pamoja namadaktari kutoka Jimbo la Jiangsu Nchini China waliofika Ikulu Mjini Zanzibar kusalimiana na Rais,madaktari hawa wataungana na Madaaktari wazalendo katika kutoa huduma katika Hospitali za Serikali Unguja na Pemba.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na madaktari kutoka Jimbo la Jiangsu Nchini China waliofika Ikulu Mjini Zanzibar kusalimiana na Rais,madaktari hawa wataungana na Madaaktari wazalendo katika kutoa huduma katika Hospitali za Serikali Unguja na Pemba.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment