Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akimkaribisha Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa
Maitafa katika Darfur Bw. Mohamed Ibn Chambers aliyekutana na kufanya
mazungumoz naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 19, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisindikiza Mwakilishi Maalum wa
Katibu Mkuu wa Umoja wa Maitafa katika Darfur Bw. Mohamed Ibn Chambers
aliyekutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti
19, 2013
0 comments:
Post a Comment