Image
Image

SERIKALI YA KENYA YALAANI SHAMBULIZI LA KIGAIDI NCHINI KENYA, YATOA SALAMU ZA RAMBI RAMBI.




China imelaani vikali shambulizi la kigaidi lililotokea kwenye jengo la maduka mjini Nairobi, Kenya, na kusababisha idadi kubwa ya vifo. 

Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Hong Lei amesema, China inapinga ugaidi wa aina yoyote, na inatoa salamu za rambirambi kwa waathirika wa tukio hilo, na kuwapa pole wale wote waliojeruhiwa na familia za watu waliouawa katika shambulizi hilo.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment