Image
Image

VIFO VYA KINA MAMA WAJAWAZITO NCHINI TANZANIA VYAPUNGUA KWA ASILIMIA 21.


Mama mjamzito akipatiwa huduma katika moja ya kliniki nchini Tanzania.


Katika kutimiza malengo ya maendeleo ya milenia hususani lengo la tano la kupunguza vifo vya wajawazito, serikali yaTanzania kupitia wizara ya afya imesema imepunguza vifo hivyo. 

Takwimu za wizara ya afya zinaonyesha kuwa vifo vya wajawazito vimepungua kwa asilimia 21 kutoka vifo 578  kwa kila uzazi hai Laki Moja kati ya mwaka 2004-2005 hadi vifo 454 kwa kiwango hicho kati ya mwaka 2009 hadi 2010.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment