Dar es salaam.
Wenye viwanda vidogo vidogo vya bidhaa za chakula na
nguo nchini Tanzania watanufaika na mafunzo ya jinsi ya kufunga bidhaa zao ili
kuziongezea Thamani.
Hii ni baada ya kuwasili kwa wataalam wa kufugasha
bidhaa kutoka nchi tano.
Wataalam hao kutoka Ujerumani, Malaysia, Tunisia,
Afrika Kusini na Kenya, watatoa mafunzo kwa wenye viwanda vidogo kuhusu njia
bora za kufunga bidhaa zao kwa soko la ndani na pia kuuza nje ya Tanzania.
Mafunzo hayo yatatolewa kwa muda wa siku tano.


0 comments:
Post a Comment