Image
Image

KIKWETE KUZINDUA KIWANDA CHA CHAI NJOMBE, KUFUATIA ZIARA YA WIKI MOJA MKOANI HUMO.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewasili mjini Njombe Jana jioni  kwa lengo la kuanza ziara ya wiki moja ya  kukagua na kuzindua miradi ya maendeleo katika Mkoa wa Njombe.














Katika siku yake ya kwanza hii leo , Ijumaa, Oktoba 18, 2013, mbali na kuzindua Mkoa wa Njombe pia atazindua Kiwanda cha Chai katika eneo la Ikanga na kuzungumza na wananchi wa mkoa huo.



Aidha katika ziara hiyo Rais kikwewte anatarajia kutembelea maeneo kadhaa ikiwemo, wilaya zote za mkoa huo ambazo ni Njombe, Wanging’ombe, Ludewa na Makete.
Sambamba na Matembezi hayo kikwete  atazindua Chuo cha Veta cha Mkoa.






Kwaupande mwingine miongoni mwa shughuli kubwa ambazo Rais Kikwete atazifanya katika ziara hiyo, ya kwake ya kwanza tokea Njombe kutangaza kuwa Mkoa, ni kuuzindua rasmi Mkoa huo. 

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment