Image
Image

TAZAMA PICHA KADHAA ZIKIMUONYESHA DK SHEIN WAKATI ALIPOKUWA AKIHUTUBIA BARAZA LA EID EL HAJJ ZANZIBAR JANA.

Rais Mstaafu wa Zanzibar awamu ya Sita Dkt. Amani Abeid Karume akiwasili viwanja vya Chuo Kikuu Tunguu kuhudhuria sherehe za Baraza la Eid El Hajj, kitaifa limefanyika katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha SUZA Tunguu.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Serekali na Dini wakisikiliza Quran iliosomwa katika ufunguzi wa sherehe za Baraza la Eid. Tunguu.
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein, akihutubia katika Baraza la Eid El Hajj, lililofanyika katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha SUZA Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.
Viongozi wa Serekali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia Hutuba ya Rais wa Zanzibar aliokuwa akiitowa katika Baraza la Eid El Hajj ukumbi wa Chuo cha SUZA Tunguu.


Viongozi wa Serkali na wa Dini wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar, katika ukumbi wa SUZA Tunguu.
Mwandishi  wa habari  wa Channel Ten, Zanzibar Munir Zakari akifuatilia hutuba hiyo kwa umakini mkubwa.


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment