Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznzania, akihutubia wakati akifungua mkutano
wa siku nne wa Kimaitaifa wa Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, uliofanyika
kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha.
Baadhi ya
washiriki wa mkutano huo, wakiwa ukumbini wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt.
Bilal, wakati akihutubia kufungua mkutano huo.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia
ngoma ya asili wakati akiondoka Ukumbi wa AICC baada ya kufungua mkutano wa
siku nne wa Kimaitaifa wa Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, uliofanyika
kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana
na Mwanasayansi wa masuala ya hali ya hewa, Dkt. Arame Tall, wakati akiondoka
baada ya kufungua mkutano wa siku nne wa Kimaitaifa wa Afrika kuhusu Mabadiliko
ya Tabianchi, uliofanyika kwenye Ukumbi
wa AICC jijini Arusha.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa
katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano wa siku nne wa
Kimaitaifa wa Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, uliofanyika kwenye Ukumbi
wa AICC jijini Arusha.
Picha na Bin Majd, Tambarare halisi.
Picha na Bin Majd, Tambarare halisi.








0 comments:
Post a Comment