Image
Image

TAZAMA NA KUONA PICHA TOFAUTI TOFAUTI ZIKIONYESHA NAMNA WATU WALIVYOKUWA WANAUAGA MWILI WA MAREHEMU NYAISANGA.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohamed Gharib Bilal akitoa heshima za mwisho kwa Mwili wa Marehemu Julius Nyaisangah Katika viwanja vya leaders Club Jijini Dar es Salaam,(Picha Na Semvua Msangi Tambarare Halisi).

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohamed Gharib Bilal akitoa heshima za mwisho kwa Mwili wa Marehemu Julius Nyaisangah Katika viwanja vya leaders Club Jijini Dar es Salaam na pembeni unaowaona ni watu mbali mbali waliohudhuria sambamba na waandishi wa habari wakiwa katika kuhakikisha wanapata picha.,(Picha Na Semvua Msangi Tambarare Halisi).

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohamed Gharib Bilal akionekana akisaini kwenye kitabu cha kumbu kumbu Katika viwanja vya leaders Club Jijini Dar es Salaam jana,(Picha Na Semvua Msangi Tambarare Halisi).

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohamed Gharib Bilal akitoa kwa wafiwa wa Marehemu Julius Nyaisangah Katika viwanja vya leaders Club Jijini Dar es Salaam jana,(Picha Na Semvua Msangi Tambarare Halisi).

Mke wa marehemu nyaisanga akitoa heshima za mwisho kwa Mwili wa Marehemu Julius Nyaisangah Katika viwanja vya leaders Club Jijini Dar es Salaam,(Picha Na Semvua Msangi Tambarare Halisi).



Hili ni jeneza alilowekwa mpendwa wetu ancle jj, kulia ni meneja wa Abood Media Abeid Dogoli, na kushoto kwake aliyevaa suti nyeusi ni Ephraim Kibonde wakiwa Katika viwanja vya leaders Club Jijini Dar es Salaam,(Picha Na Semvua Msangi Tambarare Halisi).


Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Regnald Mengi Akiwa anazungumza namna alivyokuwa akimfahamu Marehemu Nyaisangah na akiwa ni mtangazaji ambaye alishafanya kazi ITV/RADIO ONE Kwamba marehemu ni mfano wa kuigwa na jamii nzima kwa kazi aliyokuwa akiifanya enzi za uhai wake jana Katika viwanja vya leaders Club Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa chama cha Democrasia na maendeleo Chadema Freemani Mbowe Akizungumza katika viwanja vya leaders Club Wakati wa kuuaga mwili wa mtangazaji Mkongwe nchini Tanzania Marehemu Julius Nyaisangah Katika viwanja vya leaders Club Jijini Dar es Salaam jana,(Picha Na Semvua Msangi Tambarare Halisi).



Mzee Kasim Mapili Mwanamuziki wa nyimbo za Dance nchini Tanzania akitoa Heshima za mwisho Kwa Marehemu Julius Nyaisangah Kwenye viwanja vya  leaders Club Jijini Dar es Salaam jana,(Picha Na Semvua Msangi Tambarare Halisi).

























Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment