Image
Image

Breaking News:Mgomo wa wafanya biashara waendelea kufukuta yaendelea kila kona yaendelea nchi


Kufuatia kukamatwa kwa kiongozi wa wafanya biashara Bwana Johson Minja na jeshi la polisi jijini Dar es Salaam kwa makosa yakuelezwa kuwahamasha wafanya biashara kutotumia mashine za Kieletronic za kutolea risiti yaani (EFDs) Suala hilo lime chukua sura mpya baadfa ya wafanya biashara Mkoani Ruvuma kufunga maduka yao wakishinikiza kuachiliwa kwa kiongozi huyo.

Wakati hayo yakijitokeza huko Ruvuma napo Mkoani Dodoma napo inaelezwa kuwa wafanya biashara naowamegoma kufungua maduka yao kwa sababu hizo hizo za kutaka kiongozi wao kuachiliwa huru nawao waweze kuendelea na biashara zao.


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment