Image
Image

Serikali kuangalia namna gani watanzania wanaoishi nje ya nchi wanavyoweza kupiga kura katika uchaguzi mkuu Mwaka 2015


                                     Kutoka Dodoma - Bungeni
Waziri Mkuu MIZENGO PINDA amesema serikali inaangalia utaratibu utakaowawezesha watanzania wanaoishi nje ya nchi kuweza kupiga kura katika uchaguzi Mkuu wa wabunge na Rais unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Waziri Mkuu ametoa ufafanuzi huo bungeni mjini DODOMA wakati akijibu maswali ya papo kwa papo kutoka kwa baadhi ya wabunge waliotaka kujua maandalizi yaliyofanywa kuwawezesha watanzania hao watekeleze demokrasia yao kuchagua viongozi.
Waziri Mkuu PINDA amesema suala la ma
andalizi ya uchaguzi yakiwemo ya kuwashirikisha watanzania waliopo nje linashughulikiwa na Tume ya Taifa ya Tanzania Bara -NEC na Tume ya Uchaguzi ZANZIBAR - ZEC.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment