Image
Image

Kampuni za TIGO PESA na M PESA zaanzisha ushirikiano wa kibiashara ili kuwasaidia wateja kupata huduma kwa urahisi

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza (kushoto) na Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez (kulia), wakitia saini mkataba wa makubaliano ya kutoa huduma za kutuma na kupokea fedha na miamala mbalimbali ya malipo zinazotolewa na makampuni yao kupitia huduma ya M-Pesa na Tigopesa.
Kampuni za simu za TIGO na VODACOM zimeanzisha ushirikiano wa kibiashara ambao utawawezesha wateja wa kampuni hizo mbili kuzitumia huduma za kifedha za tigo pesa na m-pesa kwa gharama ile ile.
Mkataba wa makubaliano wa kuanzishwa kwa ushirikiano huo umetiwa saini jijini DSM kati ya meneja mkuu wa TIGO, DIEGO GUITERREZ na mtendaji mkuu wa VODACOM, RENE MEZA.
Wakati huo huo Kampuni ya simu ya TIGO imetoa msaada wa simu 50 kwa ajili ya walimu wa shule ya msingi BUNGO iliyopo manispaa ya MOROGORO
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment