Image
Image

Waziri nagu atembelea ofisi ya Rais,Tume ya mipango

Baadhiya watumishi wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakimsikiliza Waziri wa nchi(Ofisi ya Rais) na Uratibu, Mhe. Dkt. Mary Nagu (Hayupo pichani) alipotembeleana kujitambulisha Tume ya Mipango.

Waziriwa nchi (Ofisi ya Rais) Mahusiano na Uratibu, Mhe. Dkt. Mary Nagu (Wapilikushoto) akizungumza na baadhi ya watendaji wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipangoalipotembelea na kujitambulisha Tume ya Mipango. Wanaomsikiliza ni KatibuMtendaji, Dkt. Philip Mpango (Kushoto), Naibu Katibu Mtendaji (Miundombinu naHuduma), Mhandisi Happiness Mgalula (Wapili kulia) na Naibu Katibu Mtendaji(Biashara za Kimataifa na ya Kiuchumi), Bw. Paul Sangawe (Kulia)
Baadhiya watumishi wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakimsikiliza Waziri wa nchi(Ofisi ya Rais) na Uratibu, Mhe. Dkt. Mary Nagu (Hayupo pichani) alipotembeleana kujitambulisha Tume ya Mipango.
KatibuMtendaji wa Tume ya Mipango, Dkt. Philip Mpango (Kushoto) akitoa maelezo ya kumkaribisha Waziri wa nchi (Ofisi ya Rais) Mahusiano na Uratibu,
Mhe. Dkt. Mary Nagu (Kulia) wakati alipofanya ziara ya kujitambulisha kwa Tumeya Mipango.

Waziriwa nchi (Ofisi ya Rais) Mahusiano na Uratibu, Mhe. Dkt. Mary Nagu akizungumzana watumishi na viongozi wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango (Hawapo pichani)wakati alipofanya ziara ya kujitambulisha kwa Tume ya Mipango.
Baadhiya viongozi waandamizi wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakimsikiliza kwamakini Waziri wa nchi (Ofisi ya Rais) Mahusiano na Uratibu, Mhe. Dkt. Mary Nagu(Kulia) wakati alipofanya ziara ya kujitambulisha kwa Tume ya Mipango.
Waziriwa nchi (Ofisi ya Rais) Mahusiano na Uratibu, Mhe. Dkt. Mary Nagu (Kulia) akizungumza na Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Dkt. Philip Mpango (Kushoto) wakati alipofanya ziara ya kujitambulisha kwa Tume ya Mipango.
Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi (TUGHE) Tawi la Mipango, Bw.Stephen Katemba(aliyesimama) akizungumza wakati Waziri wa nchi (Ofisi ya Rais) Mahusiano naUratibu, Mhe. Dkt. Mary Nagu alipofanya ziara ya kujitambulisha kwa Tume yaMipango.
KatibuMtendaji wa Tume ya Mipango, Dkt. Philip Mpango (Kushoto)akimkabidhi zawadi zavitendea kazi Waziri wa nchi (Ofisi ya Rais) Mahusiano na Uratibu, Mhe. Dkt.Mary Nagu alipofanya ziara ya kujitambulisha kwa Tume ya Mipango.
KatibuMtendaji wa Tume ya Mipango, Dkt. Philip Mpango (Kushoto) akimkabidhi zawadi zavitendea kazi Waziri wa nchi (Ofisi ya Rais) Mahusiano na Uratibu, Mhe. Dkt.Mary Nagu alipofanya ziara ya kujitambulisha kwa Tume ya Mipango.
Naibu Katibu Mtendaji (Miundombinu na Huduma), Mhandisi Happiness Mgalula (Kushoto)akimkabidhi zawadi Waziri wa nchi (Ofisi ya Rais) Mahusiano na Uratibu, Mhe.Dkt. Mary Nagu alipofanya ziara ya kujitambulisha kwa Tume ya Mipango.
Naibu Katibu Mtendaji (Huduma za Jamii na Masuala ya Idadi ya Watu), Bibi FlorenceMwanri (Kulia) akitoa neno la shukrani kwa Waziri wa nchi (Ofisi ya Rais) Mahusianona Uratibu, Mhe. Dkt. Mary Nagu (Kushoto) alipofanya ziara ya kujitambulishakwa Tume ya Mipango.
Waziriwa nchi (Ofisi ya Rais) Mahusiano na Uratibu, Mhe. Dkt. Mary Nagu akisainikitabu cha wageni ofisini kwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Dkt. PhilipMpango (hayupo pichani)



Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment