Image
Image

Mkuu wa mkoa wa ARUSHA FELIX NTIBENDA aridhishwa na ujenzi wa jengo la kuhifadhi kumbukumbu ya mauaji ya kimbari.

Mkuu wa mkoa wa ARUSHA, FELIX NTIBENDA ameridhishwa na hatua ya maandalizi ya ujenzi wa jengo la kuhifadhia nyaraka na kumbukumbu za mwenendo wa kesi za makama ya kimataifa ya mauaji ya kimbari.
NTIBENDA akizungumza mara baada yakutembelea eneo la LAKIL LAKI ambako ndiko ujenzi huo utafanyika,amesema tayari mkandarasi wa ujenzi huo ameshafika katika eneo hilo na vifaa vya kwa ajili ya kuanza ujenzi huo vimeshawasili na ujenzi unatarajia kukamilika katika kipindi cha mwaka MMOJA.
Mkuu huyo wa mkoa wa ARUSHA, FELIX NTIBENDA amesema mradi huo unatarajia kukamilika mwezi machi mwakani na utaanza katika kipindi cha siku KUMI na TANO.
Mkandarasi wa ujenzi huo,amesema wanatarajia kujenga majengo hayo ambayo yatakuwa mfano kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya ARUSHA, FIDELIC LUMATO amesema iwapo ujenzi huo ukimalika utachangia kwa kiasi kikubwa kuleta maenedeleo kwa wananchi wanaoishi katika eneo hilo.
Ekari 436 zimetengwa na halmashauri ya ARUSHA kwa ajili ya ofisi mbali mbali za kimataifa .
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment