Image
Image

Mtoto wa miezi 18 akutwa hai baada ya gari kutumbukia mtoni kwa zaidi ya saa 14 kupita

Mtoto mdogo wakike amekutwa akiwa hai ndani ya gari zaidi ya saa 14 kupita tangu gari alilokuwemo kutumbukia mtoni huko Utah nchini Marekani.

Mtoto huyo mwenye umri wa miezi 18 alikutwa akiwa ananing'inia miguu juu kichwa chini kwenye kiti chake na mvuvi mmoja siku ya jumamosi.

Mtoto huyo alikimbizwa hospitali katika mji wa Salt Lake City, ambapo hali yake imeimarika kutoka mahututi na kuwa yenye ahueni kiasi.

Mama wa mtoto huyo aliyejulikana kwa jina la Lynn Groesbeck aishie Springville, alikutwa akiwa amekufa maji akiwa kwenye kiti cha dereza.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment