Image
Image

Migodi 15 ya wachimbaji wadogo wa madini Mirerani yateketea kwa moto,Huku wakazi 1000 wakikosa makazi ya kuishi

Migodi midogo 15 ya wachimbaji madini wadogo wa madini imeteketea kwa moto katika Eneo la kitalu B Mirerani simanjiro Chanzo kikiwa ni hitilafu ya umeme wakati mafundi walipokuwa wakitengeneza moja ya mita iliyokuwa katika moja ya nguzo zilizokuwepo eneo hilo na inagharimu zaidi ya shilingi Bilioni 4.
Zaidi ya watu 1000 wanakosa makazi baada ya migodi hiyo kuungua.
Chanzo ITV
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment