Marubani wanaorusha ndege hiyo inayotumia mwanga wa jua, ambao ni raia wa USWIZI, wanasema wanataka kuithibitishia dunia kuwa ndege inaweza kuruka bila kutumia mafuta.
Ndege hiyo inayotumia mwanga wa jua kuruka, kwa ndani ina ukubwa sawa na gari la familia na marubani hao wamesema wanataka kuthibitisha kuwa ndege hiyo inaweza kubeba abiria na kuruka umbali mrefu bila nyongeza ya mafuta.

Ndege hiyo inatarajiwa kumalizia safari yake pale ilipoanzia, ABUDHABI.



0 comments:
Post a Comment