Image
Image

WHO yataka Dunia kuungana ili kuweza kuangamiza ugonjwa wa kifua unao ua watu Mililioni 1 na Laki-5 kila mwaka




Shirika la Afya Duniani limetaka dunia kuungana katika mkakati wa kuangamiza  katika kipindi cha miaka ishirini ijayo ugonjwa wa kifua unaoua watu   Mililioni  1  na Laki-5  kila mwaka.


Kauli yake imekuja wakati wa maadhimis ho ya Siku ya Ukoma Duniani kwa  kuangazia moja ya changamoto kubwa za afya  duniani na kauli mbiu ya mwaka  huu ni kuwafikia na kuwatibu watu milioni  tatu wanaoshindwa kutibiwa kila  mwaka.

Kwa mujibu wa shirika la afya duniani kila mwaka watu milioni tisa   wanaambukizwa ugonjwa na wengine  Milioni  1  na Laki-5 wanakufa kuonesha tishio la  ugonjwa huo unaozidi kuendelea bila kuzuiliwa.

Kwa sababu hiyo Umoja wa Mataifa, wabia wa k uzuia ugonjwa huo na Shirika la  Afya Duniani wanataka serikali zote duniani na mashirika ya  afya, wabia wa  kupambana na ukoma na shirika la afya d uniani kuhamasisha dhamira ya  siasa   na kijamii katika kuelekea kutokomeza ugonjwa huo kama mzingo wa afya kwa   umma.


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment