Image
Image

Meya wa kinondoni Yusuph Mwenda akutana na wafanyabiashara soko la mburahati aahidi kuanza kwa mradi wa ujenzi wa soko jipya mwezi ujao.


Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akizungumza na mmoja wa wafanyabiashar wa soko la Mburahati wakati wa ziara yake sokoni hapo ambapo alikutana na wafanyabiashar hao kwa ajili ya kuzungumzia mradi w wa ujenzi mpya wa soko hilo mwishoni mwa wiki, Dar es Salaam.
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akimsikiliza kwa makini mfanyabiashara wa Kuku katika soko la Mburahati, Mkude Higilo (kulia) wakati alipofanya ziara sokoni hapo kukutana na wafanyabiashara kuzungumzia mradi wa ujenzi mpya wa soko hilo mwishoni mwa wiki, Dar es Salaam. Kulia kwake ni Naibu Meya, Songoro Mnyonge. 

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akisisitiza jambo kwa viongozi wa soko la Mburahati wakati alipofanya ziara sokoni hapo, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki na kukutana na wafanyabiashara kuzungumzia mradi wa ujenzi mpya wa soko hilo. Kushoto kwake ni Naibu Meya, Songoro Mnyonge, Katibu wa wafanyabiashara wa soko hilo, Fikiri Pazi na wafanyabiashara wengine.>>>
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment