Image
Image

News Alert:Ndege ya poteza muelekeo wakati ikituana kusababisha 12 kunusurika kifo uwanja wa karume mjini chake chake.


Abiria 12 wamenusurika kufa baada ya ndege walio kuwa wamepanda kukosea njia na kuingia kwenye nyasi wakati ikitua  kwenye uwanja wa karume mjini chake chake.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi mkoa kusini Pemba kamishina msaidizi Juma Yusufu Ali ametaja ndege ilio kumbwa na tukio hilo kuwa ni  AIR SALAMU N0 5H –HAD  iliokua ikitokea unguja.
Amesema  katika tukio hilo  abiria mmoja Mohamed Zahoro Yahaya 21 mkazi wa kichungwani chake chake amepata mshituko na amelazwa katika hospitali ya chake chake.
Dr. wa zamu wa Hospitali ya chake chake Khamisi Masod amesema hali ya abiria huyo wanaendelea na matibabu jamaa wa mjaruhiwa huyo Suleiman Yahaya Suleiman amesema hali ya nduguyake inaendelea vizuri huku akiwa anaendelea na matibabu.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment